Unamiliki Maktaba ya Filamu?
Sambaza filamu rasmi za Kiswahili kwa wateja wako kupitia flash na kompyuta ya maktaba yako bila kuhitaji intaneti ya kasi, na upate gawio la moja kwa moja kwa kila filamu inayowashwa.
Jisajili Bure
Unganisha akaunti yako kwa sekunde chache ukitumia Google au barua pepe ya biashara yako ya maktaba.
Pata Faili za PC/Flash
Pakua filamu zilizosimbwa (encrypted) moja kwa moja kwenye Flash au Hard Drive ya kompyuta yako bila kusubiri bando la simu.
Kusanya Gawio la 25%
Kila mara mteja wako anapowasha filamu kwa TZS 1,000, unapokea gawio lako la moja kwa moja kwenye namba yako ya simu.
Msaada wa Haraka kwa Mawakala
Timu yetu ipo tayari kukusaidia kuweka mfumo kwenye kompyuta ya maktaba yako leo.